Duration 17:3

TAARIFA YA KUSIKITISHA SINGIDA DC MULAGIRI APATA WAKATI MGUMU KUISHAWISHI FAMILIA KUCHUKUA MWILI

149 watched
0
0
Published 30 Jun 2021

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Mulagiri amejikuta kwenye wakati mgumu pale alipojaribu kushawishi familia iliyokataa kuchukua mwili wa marehemu ulipokuwa umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti ndani ya hospitali ya mkoa wa Singida baada ya ndugu wa marehemu kumtaka awawajibishe kwanza wahusika, sambamba na kupatiwa stahiki zao muhimu ndipo shughuli nyingine ziendelee. Hata hivyo hulka ya upole wake, busara na hekima kubwa aliyoitumia DC huyo kwa wafiwa huenda ndio iliyokuwa silaha muhimu katika kuwanyamazisha, kuwafariji na hatimaye kukubaliana naye kuchukua mwili huo dakika za mwisho baada ya kukakaa moshwari kwa siku 4

Category

Show more

Comments - 0