Matumizi ya mashine zetu
1 hutumia mafuta lita 8 kwa siku 21
2 hutotolesha mayai kwa 98%
3 unageuza mara 2 au 3 kwa siku kuanzia siku ya 3 mfululizo had siku ya 18 mwisho wa kugeuza
4 joto linalotakiwa ndan ya mashine ni 36.5 lisizidi 38.5 °c lakin hata likizid hakuna madhara kwa mayai
Contact us :-
Dodoma kisasa
WhatsApp au call +255753164374
Facebook page: Luxie Poultry Farm
Instagram page: Luxie Group investment
Youtube channel : Luxie Group Investment
Email: aswegek@gmail.com