Tupo mahali sahihi Mlima wa Moto Mikocheni "B" nimepata ya mtoto. Asante Mungu na Bishop Rose Mgetta. Ndivyo alivyomshukuru Mungu siku ya Jumapili 06.06.2021 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" baada ya kujifungua mtoto. Jumapili hii ilikuwa ni Jumapili ya Kumshukuru Mungu kuingia Nusu Mwaka
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Tupo mahali sahihi Mlima wa Moto Mikocheni B nimepata ya mtoto. Asante Mungu na Bishop Rose Mgetta: