Duration 1:19:56

UFISADI WA KUTISHA , Mabilioni ya Serikali Yatafunwa, MAJINA ya VIGOGO Yatajwa Hadharani..

77 151 watched
0
329
Published 1 Mar 2020

UFISADI WA KUTISHA , Mabilioni ya Serikali Yatafunwa, MAJINA ya VIGOGO Yatajwa Hadharani.. Uwasilishwaji wa Ripoti maalumu ya Timu ya wakaguzi iliyoundwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa Novemba 2019 kuchunguza tuhuma za uhujumu wa kampuni ya katani mkoani Tanga umeibua ufisadi mkubwa katika kampuni hiyo. Timu hiyo ya wakaguzi maalumu wamefanikiwa kurudisha baadhi ya mali za kampuni hiyo ambazo watumishi wa mamlaka ya mkonge walijimilikisha mali zikiwemo Nyumba na Mashamba. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 138