Duration 4:45

HAJI MANARA KAANZA VIJEMBE CHAGUO NI LAKO KUPANDA KIMBINYIKO AU SAIBABA

27 406 watched
0
108
Published 4 Jan 2021

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara leo ameongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa marudiano dhidi ya FC Platnum utakaochezwa uwanja wa Mkapa siku ya Jumatano saa 17:00 #EAT Manara ameeleza kuna umuhimu wa Watanzani wote kuisapoti Simba SC sababu wakipita faida kwa nchi kwa points zitaongezeka na Tanzania inaweza kurudishiwa nafasi ya kushirikisha timu nne michuano ya CAF

Category

Show more

Comments - 38