Waajiri humu nchini wametahadharisha kwamba joto la kisiasa linaloshuhudiwa humu nchini limeanza kuathiri uchumi wa nchi na wanataka tofauti zilizoko za kimsimamo zisuluhishwe haraka iwezekanavyo. Haya yanawadia wakati wachanganuzi wa kisiasa wakisema kura ya maamuzi itaandaliwa kwa njia ya amani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive