Duration 31:4

NGWARE : Seneta Malala lawamani, jamii ya 'Mulembe' yaambiwa isahau urais katika uchaguzi mkuu 2022

81 watched
0
4
Published 28 Jun 2021

Mwanasiasa Fredrick Watitwa anazungumza na @dalmussakali9921 katika kipindi cha #Ngware kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo yahusuyo Mumias Sugar na siasa za magharibi ya Kenya. #Ngware ni kipindi cha masuala ya siasa na ugatuzi, kila Jumamosi 8-10pm @WestTvKenya Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi

Category

Show more

Comments - 1