Baada ya Godzilla kufungua Dimba kwa flow kali kwenye Dakika 10 za Maangamizi wiki iliyopita. Maombi ya wadau wa Planet Bongo yamezingatiwa na hatimaye Farid kubanda Fid Q amedhihirisha kwamba yeye ni nani kwenye Hip Hop.
Nawe unaweza kupendekeza na ni afuate wiki ijayo kufanya Maangamizi.
Category
Show more
Comments - 215
@
@cassim40276 years agoI think chidi benz won this 10min freestyle coz he didn' t stop from the first sec to the last sec. Chidi was amazing on this. Ni maoni yangu tu kama unafuatilia. 9
@
@salumsazada65267 years agoThe best of the best ever hphp artist in the world. The best fareed. 2
@
@timothmwakakusyu45637 years agoMwanahipop halis mwny uwezo wa kubadili fikra za werevu na kumfanya mjinga atathimini. Big up fid q. 13
@
@abbasboniphace54447 years agoYes this the only minute we all been waiting for u know this nigga is the living hip hop artist. 3
@
@hashjamal60716 years agoSalute za kutosha kwa ngosha the don fid q. 2
@
@joelbulili47607 years agoDah. Uyu jamaa ni matatizo kabisa kwa tz sijaona mwana hip hop wa mistari ya akili kama huyu jamaa big up ngosha. 8
@
@sehemunzuri6 years ago" changanya matako ili mavihaya maneno ya fidq. 9
@
@victormushi8667 years agoHii ndio show yanguvu respect fid q mwanaharakat katika daily life. 9
@
@nyankongomakori49997 years agoFid q hana mpinzani, real hip hop mc in the world. 2
@
@sullepeter47227 years agoKweli huu mtu kutoka sayar nyingne daa! big up sana fid qqq. 2
@
@wakatimankaya86227 years agoNjia pekee ya kukwepa ngoma ni kugoma kupima. 16
@
@kaniyahiouise14745 years agokama unamkubali fid q gonga like. 22
@
@leganjoseph69497 years agoYou are da best hiphop artist in da world fidq. 1
@
@kassimmbondela92996 years agoFid q we hauchani bari unakufuru yani unajua alafu unajua tena salut. 1
@
@hassansadiki61637 years agoNice fid tuletee slim sal tumsikie michano yake. 7
@
@ramadhanmohamed91307 years agoHapana cjakubali kabsa nyimbo zote ni zile znazofanana. 1
@
@gysevengeorge95497 years agoNgoxha, ze don, unajua broo, respect tyu yu.
@
@ombenmichael34737 years agoCjawah kugoma kumskliza anachokichafanya for rely 1
@
@omarshaggy46957 years agoFid q mkali ila freestle haiiwezi naomba mwalike kaa la moto kiumbe tokea kenya awafunze real freestyle. 2
@
@saulmwakyusa10017 years agoFid q namkubali ilattftyrry tatizo lake freestyle zke ni za kuandika we kichwa tamaduni miusc mimi hapa. 5
@
@ombenivasha73617 years agoUmetisha sana mwamba nakubali sana amini kwamba. Umetsha sana broo.
@
@bakari_njobela3717 years agoWiki ijayo itabidi hicho kiti akae niki mbishi. 12
@
@officialkinghezekiah20947 years agoDadeki fid q. Izo n sifa hawakuwez. 2
@
@radhemohan29286 years agoNjiaa pekee ya kuukwepa ukimwi n kukataa kupima. Aahhha fid shdaah. 1
@
@adolfmathew85767 years agoUmejaribu ila kawaida xn. Mleteni apo eddy fire from ngarenaro km pimbi hajazima fegi. 1
@
@amanichanga34486 years agoDakika 10 za maangamizi ..1
@
@davidmtwigu49967 years agoHata hvyo ngosha unatisha sanaa ngoma zako mwisho.
@
@sidemakuka28446 years agoFid to a vitu kichwanii asilimia90 nyimbo zako. 1
@
@justinnoderosa97 years agoSijawai mdisi fid na sidhani kama itawai tokea. Big up bruder.
@
@ntawurusigajaphet8135 years agoEti njia ya keupuka ngoma ni kuepuka kupima. 1
@
@suleymanahmad25877 years agoFid kwny utungaj only huku waachie undergrounds. 1
@
@mohamednamnuma97997 years agoHuyu jamaa alinifanya niache hiphop sababu nilijua anafanya zaidi ya like ntakachofanya nitaingia ktk hiphop iwapo huyu ngosha akistahafu anajua sana.
@
@privinusdecroshan1356 years agoFd na kakubal xana people from mwanza waga htukoxei. 1
@
@saidalshaibany49867 years agoFid q ni mzuri wa hiphop kwa kuandika mistari na sio mitindo huru kama kina king zilla na kina zaiid. 1
@
@shaphyvuai68057 years agoDuh mistari imepita college tisha sana ngosha sanaa. 2
@
@motowntv2087 years agoFreestyle niwengi wana uwezo wammoja wao.
@
@djb2kzer06 years agoKiukweli fid q vingine zalisha sasa kwani akujapatikna kama ww aiii yaqni ww nixhidaaa. 1
@
@robertsylvester77287 years agoFd q ana mistar migum san huwez kuifata kizembe.
@
@AbdulAli-kq7mm7 years agoSafi kwa track zake kama fresytle hajatoa bt best in bongo. Fidq kisha nikki mbishi. Ndio maana hawamwiti kwa radio station. 4
@
@patricknyakatama83747 years agoFree style ni kama kitambulushowatu kama unarap siyo urap sana ndo. 1
Related videos for PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA FID Q:
big up ngosha. 8
big up sana fid qqq. 2
tuletee slim sal tumsikie michano yake. 7
hawakuwez. 2
.. 1