Duration 36:48

Akili na Marafiki Zake | Jifunze na Akili and Me | Katuni za Elimu

93 414 watched
0
0
Published 21 Jul 2021

Jiunge nasi kwenye hii raha ya kufurahisha na Akili na marafiki zake ambapo tutajifunza jinsi ya kupata marafiki wapya na hata kuanzisha bendi! Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza! Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. /c/AkiliKiswahili/featured Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ http://www.akiliandme.com http://www.facebook.com/akiliandme Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media. https://www.ubongo.org Imewezeshwa na Human Development Innovation Fund, funded by UKAid. #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

Category

Show more

Comments - 0