Duration 2:57

Ujenzi wa hospitali ya kushughulikia wagonjwa wa Corona waanza Nairobi

822 watched
0
0
Published 20 Jul 2020

Ujenzi wa hospitali yenye vitanda 150 umezinduliwa chini ya ushirikiano wa hospitali ya Nairobi na afisi ya umoja wa mataifa jijini Nairobi. Hospitali hiyo itakamilika baada ya muda wa miezi miwili huku Katibu msimamizi wa wizara ya afya Rashid Aman akisema itasaida mno kupunguza mzigo wa serikali haswa wakati huu ambapo wanatabiri kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya corona itakuwa juu zaidi ifikapo mwezi septemba

Category

Show more

Comments - 2