Duration 5900

VodaBima imeboreshwa Nunulia chombo chako cha moto bima KUBWA au NDOGO kupitia M-Pesa.

339 356 watched
0
2
Published 17 Nov 2021

Linda chombo chako cha moto mazima na VodaBima! Katia chombo chako cha moto bima kubwa au ndogo kutoka kwa washirika wetu ukiwa na simu yako ya mkononi popote ulipo, kupitia M-Pesa App au kwa kupiga *150*00# kisha kuchagua "Huduma za kifedha" halafu kuchagua "VodaBima" na kuchagua mtoa huduma kulingana na mahitaji yako. #vodabima #lindachakolindamazima #pesanimpesa

Category

Show more

Comments - 0