- NAOMBA KWAKO BIBIYE
Words and music: Ali Salim Basalama
Singer: Maulidi Mohamed Machaprala
Lyrics:
Mwenzangu nakuuliza .. Nini umekusudia
Na mbona unanitaka .. Naona naniringia
Njia zote nimemaliza .. Bado wewe wakataa
Kitanzi umenitia .. Ili ni kunitundika
Namimi nimeridhia .. Nimeridhi kuteseka
Natapa nnaumia .. Bado wewe wanicheka
Na kamba umeikaza .. Pumzi zimenikaa
Macho yanaona kiza .. Na sasa nishapumbaa
Nimebaki kujikaza .. Nangoja dakika na saa
sichoki kukuuliza … Bado wewe wakataa
Wanambia ngoja kwanza … Namisikati tamaa
Au hii ndio jaza … Apendae huwa jaa
- Taqsim on Qanun -
Umenionjesha .. Raha ya mtu anaependa
Na mara ukanirusha .. Nakunifanyia ida
Nakuombaa sawaziasha .. Mwenzio m'nakupenda
Category
Show more
Comments - 5
Related videos for Naomba Kwako Bibiye - Ikhwani Safaa Musical Club (Singer: Maulidi Mohamed “Machaprala”. 1980s: