Duration 5:31

Watu Na Wakushukuru | Wimbo wa Katikati | Dominika ya 20 mwaka A

Published 14 Aug 2020

Wimbo wa katikati Dominika ya 20 mwaka A Jumapili ya tarehe 16/8/2020 Zaburi: 66 Mtunzi: Bernard Mukasa Waimbaji ni baadhi ya wanakwaya wa St Paul's Students Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi Karibu kutazama wimbo wa katikati kila wiki pamoja na nyimbo nyingine za kwaya katoliki Kenya na Tanzania katika channel hii Please like, share and subscribe lest you miss out our next uploads. MANENO YA WIMBO Kiitikio Watu, na wakushukuru Ee Mungu, watu na wakushukuru Mashairi Mungu na atufadhili na kutubariki, na kutuangazia uso wake Njia yake ijulikane duniani, wokovu wake katika mataifa yote Maana kwa haki atawahukumu watu, na kuwaongoza mataifa duniani Mungu atatubariki sisi, miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Category

Show more

Comments - 78