MAAJABU: BIBI MIAKA 68 AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA, ASHANGAZA DUNIA...
Mwanamke mwenye miaka 68 nchini nigeria amejifungua watoto mapacha na kuwaacha wengi na mshangao.
Bibi huyo amejifungua katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Lagos.
Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa baraza la ushauri la chuo hicho, Profesa Wasiu Adeyemo, amesema kuwa mwanamke huyo alijifungua kwa njia ya ''upasuaji baada ya wiki 37 za ujauzito''.
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania