Nguvu nyuma ya marafiki uliona, mara nyingi tunakuwa na marafiki na bila kujua watu wanaotuzunguka wanatuathiri katika mfumo wa maisha yetu ya kila siku.Hivi unajua wastani wa maisha yeko unayoishi inategemeana sana na watu sita waliokuzunguka.Niandikie hapa chini, Je kuna ukweli wa namna gani katika mambo niliyo yaongea? #JoelNanauka#Marafiki#Wanaokuzunguka.
@bakarimbonjo71825 years agoKama na wew umemwona mtangazaji anamuelewa sana joe kama navyomuelewa mimi gonga like. Za kutosha. 4
@
@devothadonaldsimbi34995 years agoNimekuelewa kabisa bahati nzuri hiki ulichokielezea auvizuri mimimuda, uko sahihi kabisa wengi tunachanganya au tumehindwa urafiki tulionao ni upi tunabaki kulalamika tuu. Shukrani kwa yote. ...Expand1
@
@Dm-yq9wn5 years agoKaka unakipawa kikubwa mno japo watu wanachulia poa nimerudisha hichi kipambe zaidi ya mara tatu umenifundisha kaka jinsi ya kujua type ya marafiki. 5
@
@msleny67675 years agoHuu ni ukweli kabisa you are the everage of those whom you spend your time with most of the time, it is practical.
@
@zuhuraabdillah69415 years agoYou opened my ears bro i was think everybody is best friend but not true ooh so its my duty to sort friends and their categories.
@
@johnluhwa83425 years agoKazi nzur sana kaka joel, tunaomba hii mada uimalzie ni funzo kubwa sana kwetu. 1
@
@teamfocusfunny9665 years agoI need to share this, you are the best bro.
@
@aishaomar43185 years agoIli awe rafkiako aweje au awe na sifa gani?
Related videos for Nguvu Nyuma Ya Marafiki Wanaokuzunguka ( Part 1) - Joel Nanauka:
you are the everage of those whom you spend your time with most of the time, it is practical.