Duration 2:57

TENDA WEMA, USITAFUTE UMAARUFU BY MTUMISHI DAINESS

4 510 watched
0
84
Published 5 Jul 2020

Watu wengi wamekua ni wepesi kutoa msaada ili waonekane mbele za watu, lakini watu hawa wamekua ni wagumu sana kutoa msaada kwenye mzingira ambayo hakuna mtu atawatambua ikiwa watatoa msaada. Wengine wanamsaidia yatima na mjane kisha wanaanza kupiga picha na kujipost mitandaoni.... Endelea.

Category

Show more

Comments - 0