All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#
@brianmagali54865 years agoThis is more than message, point noted! 3
@
@natakanumberzampambaj84674 years agoDoctor kumbuka mwenyez mungu akuzidishie umri nakupnda san walah ilike ur speech nakusikiza kutoka count 254.
@
@fatmakombo75844 years agoAsante kaka wambie kaka zetu na baba zetu loo.
@
@sarahmohamed3375 years agoMwenyezi mungu akueke kumbuka kakangu. 2
@
@jA-ox7vz6 years agoDr. Kumbuka na mzee wa ngenga mwishoo. 2
@
@kibongobongo46087 years agoMessage sent mwenye akili atalifanyia kazi. 5
@
@pierreoriva41315 years agoWew jamaa noma nimesikia mbingu, ifakara. 1
@
@zaharasayyid57244 years agoWaambie kaka huwa hawakumbuki walipotoka.
@
@tabumduma335 years agoKhaa yaani wapo wazalilishaji kisa hawara baba. 1
@
@mwadawabekwa36957 years agoMwanaume lijali aliyefunzw na mamake utamuona tu kaka kumbuka upo juu nakwambia 100% wanaume wengi washamba sana wakikipata pesa wanajiasau. 7
@
@messinakidodi5795 years agoWape maneno. Ii message n ya wale wanaume wanaojisahau wakipta hela. Chamba ao shenzy. 3
@
@TanzaniOman5 years agoHahahaaa nimecheka mpaka bac maan umenilenga brother. 2
@
@elishangoma82354 years agoDuh jamaa hana nukta maneno yanaporomoka kama yame dunguliwa. 1
@
@zahramunir85966 years agoMh. Yote hayo yapo, hebu pasua huo ukweli. 1
@
@jesscahmshana51046 years agoSura imekupauka ka mizani ya chalinze loh.
@
@abdulatifmoxamed80474 years agoNgoja uone bado mtoto mdogo wewe unaongea kama huna experience ya maisha yote unayoongea kuna wanaume yamewakuta kufanyiwa na wake zao. 1
@
@user-ot3ht3qd2g4 years agoUmeyamaliza baba wewe. Naskia chozi. Linatakanmepitia. Lkn najua mungu yuko.
@
@lisajackson58675 years agoHahahaa dr kumbuka sku y arus yngu lzm uw mc wangu nakupendaga san ww kaka point. 1
@
@hollynationproductions63266 years agoHuyu kaka nampenda hatari dah kwakwel waambie.
@
@jainaboman89525 years agoW aambiee wamezidii kujipaisha wakiwa nje hujifanyaa watunzaji lakini hawana moja wala kumi namoja wapashee.
@
@aishasaid57025 years agoWaliodislike ndo hao yanawahusu hadi mawaidha wanadislike.
@
@najathyrashidy576 years agoKawagusa ndio maana mwasema sio mwanaume lenu ilo.
@
@yolakahmathews69136 years ago" mashavu kama vile unaumwa safura" lol.
@
@hawaally82345 years agoKumbuka umenikosha yani wakipata pesa hawasikii hawajali mwisho utaskia we mchafu wakat hata ela yakusuka nywele za 10 zinamshinda mtu unapaka mafuta yakula je utanukia saa ngapi kumbuka wachambe labda wataelewa. 1
@
@fasterwalker14645 years agoHuyu ni shoga nini chogo ka mzinga wa gongo kah nimekubali.
@
@fatmajuma50617 years agoUmenikosha funguka uso umempauka kama mizani ya chalinze ha. 1
@
@mariamissa41866 years agoKwamwanaume mwenye akili atalifanyia kaz wacha mie nitafute badae niishi kwa raha.
@
@edwardsichilengwe23305 years agoUmepauka uso kama mizani ya chalinze, hili dongo linanihusu walahi.
mwenye akili atalifanyia kazi. 5
chogo ka mzinga wa gongo kah nimekubali.