Duration 17:54

MKAJIPAMBANUE MNILETEE TAARIFA YA KINA INAYOJITOSHELEZA

229 watched
0
3
Published 18 Dec 2020

"MKAJIPAMBANUE MNILETEE TAARIFA YA KINA INAYOJITOSHELEZA" Mh Isack copriano Amesisisitiza kuwa anataka tarifaa zilizo jitosheleza ametasema hayo alipofanya ziara kamati ya fedha kukagua na kujionea miradi mbalimbali Inayotekelezwa na Halmashauri pamoja na Nguvu za wananchi ameyasema hayo alipotembelea Shule ya Sekondari ya Lowassa iliyo katika Kata ya Makuyuni. . . Katika ziara hiyo kamati ya Fedha ilifanikiwa kutembelea Shule zote za sekondari zinazo mwilikiwa na Halmashauri ya wilaya ya Monduli. . . Kamati fedha ikiongozwa na mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Mh.Isack Copriano waliweza kugundua mapungufu na dosari mbalimbali.Ameagiza kamati iliyokuwa ikisimamia Manunuzi na Ujenzi Miundombinu ya shule za Sekondari kuleta taarifa ya kina kila kilichofanyika kwake ili kamati ikutane kupitia taarifa hizo.

Category

Show more

Comments - 0