Duration 7:37

Mambo ambayo mwanaume anapaswa kujua kuhusu mwanamke

28 357 watched
0
370
Published 20 Mar 2020

Mambo (6) ambayo mwanaume anapaswa kujua kuhusu mwanamke:- 1.Moyo wa kila mwanamke una kiu ya kupendwa 2.Mwanamke anapenda vitu vidogo vidogo ( Intimacy) 3.Kila mwanamke ana kiu ya kushirikishwa. 4.Mwanamke ni mtu wa hisia. 5.Mwanamke anapata maumivu makubwa kihisia. 6.Mwanamke hapendi sifa za watu wengine.

Category

Show more

Comments - 32