Duration 3:50

Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga wa mchele - Rice flour mini cakes

120 605 watched
0
1.3 K
Published 27 Oct 2018

ingredients ✅2 rice cooker cups - rice flour. watch how to make rice flour at home 👉 /watch/AEzKLW3bWhObK ✅1/2 cup sugar ✅1 tsp cardamom ✅1 tbsp yeast ✅2 and half to 3 cups coconut milk/cream ✔buy the aebelskiver (vitumbua) pan here; https://amzn.to/2RfJ47N instagram: jifunze_mapishi _________________________ Mahitaji ✅unga wa mchele vikombe 2 (nimetumia vikombe vya rice cooker) ✔Angalia video jinsi ya kutengeneza unga wa mchele nyumbani 👉 /watch/AEzKLW3bWhObK ✅sukari nusu kikombe ✅iliki kjk 1 ✅hamira kjk 1 ✅tui la nazi vikombe 2 na nusu mpaka 3 ✔Kwa wa UK nunua chuma cha vitumbua hapa 👉 https://amzn.to/2RfJ47N _________________

Category

Show more

Comments - 167