Duration 3:2

Baraza la makanisa limetoa wito kwa rais na jaji mkuu kushauriana ili kutatua mzozo uliopo

64 watched
0
1
Published 11 Jun 2021

Baraza la kitaifa la makanisa-NCCK limetoa wito kwa rais Uhuru Kenyatta na jaji mkuu Martha Koome washauriane kwa dharura ili kutatua mzozo uliopo kati ya mamlaka kuu na idara ya mahakama. Katibu mkuu wa baraza la NCCK Rev. Canon Chris Kinyajui alionya kwamba malumbano ya hadharani kati ya nguzo hizo mbili za serikali yanaathiri taifa hili. Ben Chumba atuarifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya

Category

Show more

Comments - 0