Duration 8:25

SALUM MWALIMU: Nipo Tayari Kwenda Jela Yoyote

30 462 watched
0
114
Published 17 Feb 2018

EXCLUSIVE: 'SALUM MWALIMU' Kafunguka "Nipo Tayari Kufungwa Jela Yeyote" Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chadema, katika uchaguzi mdogo wa marudio jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu, amezungumza na waandishi wahabari leo Februari 17, 2018, ikiwa ndiyo siku rasmi ya uchaguzi huo. Salum Mwalimu amelalamikia suala la mawakala wa Chadema kutolewa katika vyumba vya kupigia kura, huku akionyesha wazi kutoridhishwa na utendaji kazi wa baadhi ya polisi waliotanda katika vituo vya kupigia kura, na kusema ana hofu huenda miongoni mwa askari hao kuna wengine ni askari feki. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 49