Duration P0D00

TAMWA-Zanzibar yapongeza wanawake wa CCM waliochukua fomu ya Urais

65 watched
0
0
Published 3 Jul 2020

Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tamwa-Zanzibar Dkt,Mzuri Issa amesema kuna jitihada kubwa zimefanyika katika kuwajengea uwezo wanawake visiwani Zanzibar na ndio maana wamekua na uthubutu mkubwa wa kujitokeza kuchukua fomu ya Urais

Category

Show more

Comments - 0