Duration 3:24

SOKO LA MUDA LA KIBANDAMAITI

192 watched
0
1
Published 6 Mar 2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Manispaa Mjini kuhakikisha watu wanaopatiwa nafasi ya kufanya biashara katika soko la Kibandamaiti ni wale waliolengwa pekee, ili kuepusha vurugu hapo baadae

Category

Show more

Comments - 0