Duration 4:12

MAENDELEO YA UWEKEZAJI NA UCHUMI YAVUTIA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI CZECH.

64 watched
0
3
Published 7 Oct 2021

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimepokea ugeni wa wawekezaji kutoka Jamhuri ya Watu wa Czech lengo likiwa kujadili kuhusu fursa za uwekezaji nchini.

Category

Show more

Comments - 1