Duration 2:36

INASIKITISHA WATANO FAMILIA MOJA WAUAWA KIKATILI

80 watched
0
0
Published 23 Jan 2022

Watu watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Zanka wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma wameuawa na watu wasiojulikana. Waliouawa ni mume, mke, watoto wawili na mjukuu mmoja wote wa familia moja. #Subscribe #MyChannel #ErastoMashauri

Category

Show more

Comments - 0