Darasa la filamu kwa lugha ya kiswahili linalotolewa kwa njia ya mtandao na Muongozaji wa filamu wa kimataifa Timoth Conrad linaanza Rasmi tarehe 4, unaweza kujisajili katika darasa hilo kwa kutembelea website ya https://www.swahilifilmclass.com
Tukutane Darasani