Historia Ya WATANZANIA Waliopigana Vita Ya Dunia/ INASIKITISHA!
Vijana kumi na tano alfu kutoka Tanganyika, walikamatwa kwa nguvu kwenda kupigana vita ya pili ya dunia ili kuikomboa uingereza dhidi ya Adolf Hitler, vijana wakampoteza Hitler, waingereza wakapiga vigelegele, vijana wa kazi wakarudi nyumbani na majina ya kishujaa kufa maskini, sasa ni wazee, hawana nguvu tena, hawaoni vizuri,hawasikii vizuri, hawana kumbukumbu nzuri, hawana meno, wengi wamekufa na huzuni moyoni, hasira kichwani, ukata mifukoni, wamebaki 400 kati ya 13,000 waliorudi, mwenye umri mdogo ana miaka 92, wengi hatujui walipo kwa sababu hatuijui historia yetu, uingereza haijui walipo kwa sababu shukurani ya punda ni mateke.
Wakati wanasagwa kwenda vitani aliyejifanya kukaidi alitupwa jela miezi sita na viboko juu, alivyotoka jela aliulizwa kuchagua kwenda vitani au kurudi jela tena miezi sita, wote walichagua kwenda vitani kupigana vita ambavyo havikuwahusu. Tatizo la wazungu bwana, wao wakizinguana wanasema ni vita ya dunia na kutulazimisha tukawasaidie, sisi tukizinguana wanasema ni vita vya ukabira na kuja kutuuzia silaha tuuane wao wachume kwa sababu kwenye vurugu pana ulaji.
#vitayapiliyadunia #globaltv #historiazaviongozi #ananiasedgar
/playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
@adriandema52815 years agoAfrica. Kaka ananias edga mpaka hapa ulishanijuza mengi sana kuhisu africa yetu hii moja. Na unaendelea kinijengea uzalendo zaidi. Big up sana endelea ndugu . ...Expand30
@
@josephatkashendwa11775 years agoMy brother from another mother i really admire u, kwa hili bro hili lifanyike uwasilishwe walaka maalumu kwenda kwa raisi, na nakala nyingine kuwasilishwa. ...Expand1
@
@henryhenry81504 years agoThe sound good## big up my brother from another mother.
@
@hermanstephenntabahungu53105 years agoTukadai fidia. uishi miaka mingi aisee njia pekee ya kumsupport huyu brother from another mother ni kuhakikisha tunaangalia kila tangazo god bless you my brother from another mother. ...Expand22
@
@allyderossi97425 years agoAnanias hv ww ni binaadamu wa kawaida kweli? Na hii fani kabla ya kuisomea hukuoteshwa ww? Mana hata kama story itakuwa ni mbaya vp kwa haa utaipenda 2uu, mshukuru sana mwenyezi wa yote hii ni zawadi kakupa toka kwake ya ucmulizi hongera sana nimekuelewa mwanzo mwisho na allah akujaalie uzd kupaa kimataifa zaid in-sha allah. ...Expand32
@
@mauwamwilongelwamlongelwa93644 years agoNikweli kabisa mungu awaongoze na kuwapa maarifa mengi na kufikia kuudai fidia ya kuikomboa afrika. 1
@
@rasihamsangi80845 years agoMungu ibariki tanzania na afrika nzima, mungu akubariki mtangazajikileleni juu mbinguni chii nawapenda sana ndugu zetu mungu ametujalia kila la heri na baraka tuwe na imani na ndugu zetu0. 4
@
@heraldloshi18645 years agoThis is very true. Nili muonaga mjomba ake mama yangu mzazi kuleana sonono, muda wote. Kama vile kawatoto kijijini msema pekee. Kumbe ndo kile wataalam wa maswala yapost war trauma. Yaani sonono la ki vita. ...Expand18
@
@deadcrush5 years agoSauti ya muziki wako wa nyuma umenikinaisha kusikiliza simulizi yako nzuri sana. Itapendeza sana uki ubadiliasha huo muziki (soundtrack) katika simulizi zako zijazo. Asante sana kaka. 2
@
@yusufuheri6524last yearAsante sana my brother from another mother.
@
@godfreynyansira82275 years agoNakupata vzuri sana, sichoki kukufatilia, najifunza mengi. 4
@
@mulirohilary2095 years agoMr denis u do fantastic work ur the best for me asanteni kwa research nzuli. 2
@
@habibaramadhani4365 years agoReally ukiwa unatakaza waniacha hoi nice well done. 1
@
@chidiomari.655 years agoMzee unajua history, safi sana mungu akutunze ili uzidi kutufahamisha mengi tusiyoyajua.
@
@mjuba5 years agoUnaongeaga vitu vyenye madini sana bro.Nakukubali nakuaminia shughulika na hili 5
@
@nzitogondwe99764 years agoBabu yangu mzee athumani mwahenya alie kua anaishi tukuyu mwakaleli alifwatilia sana hizo pesa mpaka amekufa hatujaona lolote ila waliwahi kuja kijijini. ...Expand1
@
@magnust.camingsoon96695 years agoSalute kwa hio story, hata wajerumani tunawadai br. 1
@
@msemwawalter8375 years agoNapenda sana simulizi za huyu bwana, zina flow nzuri inayoeleweka kwa urahisi. pongezi sana, umebarikiwa. 1
@
@djuninhoramisos24535 years agoBe blessed saana ananias bro na global tv. Naelimika mengi kwa tafsiri ya ufaswaha na burudani hadi akili kuwa makini pindi unapo elezea. 1
@
@danielmseti12775 years agoAsante san bro huko saw mungu akubalki kwa kuwakumbuka wazee wet.
@
@BenMula3115 years agoWapo sahii kabisa inabidi wadaiwe kweli. 2
@
@giftnyakipande12535 years agoAfrica tuna historia kubwa sanaa ila hatuna utunzaji wa kumbukumbu historia inapotea ivi dah toowetu watetewe jamn.
@
@a04yuphilipo55 years agoAsante sana kaka kwa kunijuza na niko p1 na ww.
@
@martinesizya2345 years agoDuh! Ananiah unatisha, nimekuelewa sana! 1
@
@Abubakar-po4fn5 years agoDaah inasikitisha sana, wazee wetu wamekufa na wengne wapo mitaan wako hoi, namuona mzee mmoja ktk picha namfaham sana sasahv yuko kama kichaa pamoja na umr lakn huenda hili pia n sabab ya hili janga.
@
@merdaniely47755 years agoDuh leo ndo nimekusikiliza vzr kaka, upo vizurii mnoo! Big up! 1
@
@franknantalila15884 years agoUkisoma vizuri historia wazungu hawakufaa kuwa ata hapa africa ni wapuuzi sana.
@
@mirajrojas29625 years agoTunaita talanta au talent ambayo nikutafsiri tofauti kabisa. 1
@
@micamathew64335 years agoTwendeni tukadai fidia yetu. Nadhani umeona jinsi tanganyika ilivyokuwa na nguvu kipindi kile cha vita vya pili vya dunia. Hiyo ni kwasababu ya umoja na. ...Expand
@
@ommyathumani72645 years agoHuwa nikisikiliza tarifa zako huwa naingiwa na huzuni sana hasa sisi wa africa. 1
@
@samwelmadaraka15215 years agoKweli walitexeka xana ila selikali yetu ndohivyo polen wazee we2 mungu atawalipia. 1
@
@zubedasaid59625 years agoAsanteni sana global tv, napenda kuleta maombi yangu mtuletee history ya kasanga tumbo, wengi wetu tumesikia tu story za vijiweni kuwa aliwekwa kuzuizini. ...Expand
@
@iginasihuseni9945 years agoHongera msimlizi jitihada gani tuchukue ilitufikie maamzi haya hata babu zangu watatu walikua huko vitani.
@
@salumkhamis78185 years agoUmetishamnamzika kwa mbwembwe wakati alikufa kwa kukosa kidonge cha 500 duh uwezo mkubwa wa kujieleza.
@
@mtatiromgeka72704 years agoKwa hili ni kweli kwa histolia hio babu yng alikua ruban kwenye vita hio. Dah jamn.
@
@ujanjamedia78135 years agoNakukubali sana mzee baba wazungu sio watu wanatuuwa kila kukicha tuludi kwenye asili yetu kama china. 1
@
@nestomuna3505 years agoKwelivingi vingine vya kwelialionwa alie torosha ndege kutoka kenya. Hawa hawajulikani. 4
@
@saidhamisi34685 years agoDah wee mtu mungu akuweke sana duniani mana unanikosha roho sana mungu akubaliki kaka japo watu wenyewe unaetwambia yanapitauku yanatokea uku bule kabisa! 5
@
@dmxtrezer98495 years agoYani niuzuni sana kila siku mmi uwa nasema ningelikua na uwezo ningetetea wanyonge wote dunia ningepunish kila mtu mwenye anatesa wanyonge na kupatia wanyonge aki yao. 6
@
@edwardmasanja44565 years agoAmahakika inaumiza sana! Imebaki kuweka siku ya kumbukumbu ya mashujaa tu baada ya hapo hakuna anaewakumbuka. 1
@
@hamadali50625 years agoNi history nzuri sana. Kuna mzee tulikuwa tunaishi nae yeye alikuwa katika jeshi la wingeleza alipelekwa mpaka palestina. Sasa wacha tuulizane nikitu gani. ...Expand
@
@chuwaloonlinetv66725 years agoAcha leo nami nicoment kwan huwa nafuatilia sana hizi makala g.
@
@lamecksanga93655 years agoWazee hawa nii hatari wapewew heshima tu.
@
@MaleFuraha-go8jvlast yearIyo nimeikubali vp mimi niwakwanza kudai haki zzetu.
@
@allysamba16955 years agoMzazi tukadai fdia zetuediga mie sikupingi habali zako.
@
@japhetisraelsmafie9975 years agoBroo uko sawa sema tu tukienda tu kuidai ndo vita ya utatu mtakatifu inatokea.
@
@ommyomhs93674 years agoAnaniasi edgar nawezaje kupata update za story zako zaidi?
@
@keyakeya89115 years agoDuh yani hata babu yangu alipigana vita hii lakin hakupata kitu chochote. 2
Related videos for Historia Ya WATANZANIA Waliopigana Vita Ya Dunia/ INASIKITISHA:
big up my brother from another mother.
uishi miaka mingi aisee
njia pekee ya kumsupport huyu brother from another mother ni kuhakikisha tunaangalia kila tangazo god bless you my brother from another mother. ...Expand 22
nakuaminia shughulika na hili 5
pongezi sana, umebarikiwa. 1