Duration 4700

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ameutangazia umma kujihadhari na Wim

187 watched
0
7
Published 31 Dec 2021

Na.Cosmas Makongo DSM 31.12.2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ameutangazia umma kujihadhari na Wimbi la Nne la UVIKO 19 ambapo kirusi kipya cha *OMICRON* kimeingia hapa nchini Tanzania. Amebainisha hayo leo 31.Desemba 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati akihutubia Taifa kupitia vyombo vya habari ambapo amewataka watanzania kuchukua tahadhari kwa kufuata ushauri wa wataalamu wa Afya. " Pia nitumie fursa hii kuwahimiza wananchi kujitokeza kupata chanjo ya UVIKO-19, chanjo zipo na zinapatikana bila malipo" amesema Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Category

Show more

Comments - 0