Hivi karibuni Kenya imetaja baadhi Mataifa ambayo ndege zake zinaruhusiwa
kuingia na kutua katika viwanja vya ndege vya nchi hiyo. Mamlaka ya viwanja
vya ndege hapa nchini TCAA nayo jana imetoa taarifa za kusitisha kuingia na
kutua kwa ndege za shirika la ndege la Kenya KQ, hapa nchini hadi hapo TCAA
itakapotoa taarifa nyingine.
Category
Show more
Comments - 26
Related videos for SAKATA LA MASWALA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA NA KENYA: