Hii ni njia rahisi ya Ku-copy link ya video katika app ya youtube.
Huenda ukawa unapata shida pale unapotaka kumtumia mtu link ya video fulani kutoka katika mtandao wa youtube. Inakulazimu kutumia kivinjari (browser) ili ku-copy hiyo link ya hiyo video na kumtumia mtu.
Video hii inakuelekeza namna ya ku-copy link ya video ndani ya app ya youtube bila kutumia kivinjari chochote.
__________________________________________
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
/watch/gZg_8rwhV5ph_
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
/watch/MoamVZbOTufOm
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
/watch/IX9f-sCEwrlEf
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
/watch/oaezN_mbuQubz
Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
/watch/cvsznFaipzwiz
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
/watch/UVt8hIhOwKhO8
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
/watch/0_k68dy2hs026
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
/watch/8qH2GKoO6uIO2
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
/watch/Q9PY2_bgcOAgY
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
/watch/0zaE_JkDjrzDE
__________________________________________
Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!
Jiunge Nasi Kupitia ;-
Instagram. https://www.instagram.com/tz_eleven/
Facebook. https://www.facebook.com/tz.eleven/
Youtube. /c/TzEleven
#tzeleven